Alichoandika Edo Kumwembe kuhusu Kindoki



Baada ya Klaus Kindoki kuruhusu goli ambalo watu wengi wameona ni la kizembe Edo Kumwembe ambaye ni moja ya wachambuzi nguli wa soka ameandika ujumbe wa Utani kwa kuhusu KINDOKI.
Ameandika kupitia Instagram Ujumbe Huu.
Naombeni akaunti ya Kindoki..nataka nimfollow hata akiondoka Yanga….Papaa Kindoki…

No comments:

Powered by Blogger.