Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 21 November 2018
Klabu ya Simba kupitia Ukurasa wake wa Twitter umetoa Taarifa mpya Kuelekea mchezo dhidi ya Lipuli Fc siku ya Ijumaa 23 November 2018.
UJUMBE WALIOUANDIKA
Siku ya Ijumaa Novemba 23, 2018 tutashuka dimbani kucheza mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Lipuli. Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni.
No comments: