Alichoandika John Bocco kuelekea mechi ya Watani Leo

Alichoandika John Bocco kuelekea mechi ya Watani Leo
Kuelekea pambano la Watani wa Jadi iite Ilala DABI nahodha wa klabu ya Simba John Bocco ameandika Ujumbe kuelekea pambano hilo.
Akitumia ukurasa wake wa Instagram John Bocco ameandika ujumbe wa kuwatakia kila laheri Simba.
No comments: