Post ya Mo Dewji kuelekea pambano dhidi ya Yanga



Post ya Mo Dewji kuelekea pambano dhidi ya Yanga
Mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji akitumia ukurasa wake wa Twitter amepost ujumbe kupitia Ukurasa wake wa Twitter.
Amepost picha ya shabiki wa Simba aliyefika mapema uwanjani Iliyoandikwa Simba Today and Everyday  ikimaanisha Simba leo na Kila Siku
Na baada ya kupost picha hiyo akaandika Mood akimaanisha Hali aliyonayo kwasasa “Simba leo na Kila siku ”

No comments:

Powered by Blogger.