Wachezaji wanaoongoza kwa Magoli ligi kuu Tanzania bara TPL 2018/2019
Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara TPL Msimu wa 2018/2019 ,
Hii hapai Orodha ya wafungaji wanaoongoza kwa Magoli mpaka sasa.
Meddie Kagere (Simba) – Mabao 3
Alex Kitenge (Stand United) – Mabao 3
Omary Mponda (Kagera Sugar) – Mabao 2
Tafadzwa Kutinyu (Azam Fc) – Mabao 2
Stamili Mbonde (Mtibwa Sugar) – Mabao 2
Joseph Mahundi (Azam Fc) – Mabao 2
Ally Bilal (JKT Tanzania) – Mabao 2
wimatz
No comments: