Robo fainali ya Ligi ya mabingwa Africa kuendelea kupigwa Leo 22.09.2018




Robo fainali ya Ligi ya mabingwa Africa kuendelea kupigwa Leo Mechi ya kwanza pia Al Ahly akiwa ugenini dhidi ya Horoya AC walitoka sare tasa 0 - 0, Leo Al Ahly wapo nyumbani, matokeo kuwaje na timu gani kwenda nusu fainali? majibu utayapata kuanzia saa 4:00 Usiku.

No comments:

Powered by Blogger.