Tazama picha maandalizi ya Uwanja wa Karume mjini Musoma leo 22.09.2018


Haya yalikuwa ni maandalizi ya Uwanja wa Karume mjini Musoma leo asubuhi kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Biashara United vs JKT Tanzania utakaopigwa saa 10:00 jioni.

No comments:

Powered by Blogger.