Kwenye Dimba la Uhuru Dar es salaam, magoli mawili ya Jaffary Salum Kibaya yameipa Mtibwa Sugar ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenye African Lyon.FT: African Lyon 0-2 Mtibwa Sugar.
No comments: