Matokeo Mbao vs Tanzania Prisons TPL 24.9.2018



Bao la Ndaki Robert dakika ya 90+4 linaipa Mbao FC ushindi wa pili mfululizo kwenye Uwanja wake wa nyumbani, safari hii ikiichapa Tanzanbia Prisonbs bao 1-0.

FT: Mbao FC 1-0 Tanzania Prisons.

No comments:

Powered by Blogger.