Matokeo mechi zote Ligi kuu Tanzania TPL 28.9.2018


Matokeo mechi zote Ligi kuu Tanzania TPL 28.9.2018
Stand United chama la wana wameshindwa kutumia vyema uwanja wake wa Nyumbani mara baada ya Kutoa sare ya bila kufungana wakicheza na Tanzania Prisons.

Coastal Union ya Tanga licha ya Kuongoeza kwa bao la mapema wamejikuta wakibanwa kwa sare ya bao 1 kwa 1 wakicheza na Mbao Fc ya Mwanza, Bao la Coastal Union limefungwa na Ayoub Lyanga na Bao la Mbao likifungwa na Said Hamis.
Kagera Sugar wakicheza uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba imefanikiwa kupata Ushindi wa mabao 3 kwa 1 wakicheza mchezo dhidi ya Ndanda Fc
Mabao ya Kagera Yamefungwa na Japhet Makarani na Ramadhan kapera mabao mawili na Bao la Ndanda limefungwa na Mohammed Manzi.

No comments:

Powered by Blogger.