Tuesday, March 18 2025

Kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui Fc leo 23.9.2018


kikosi cha Simba leo 23.9.2018 kitashuka dimbani kucheza na Mwadui Fc ya Mkoani Shinyanga mchezo utakaoanza majira ya saa kumi kamili katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.
Kuelekea mchezo huo wa leo Jana Simba ilifanya mazoezi yake ya Mwisho katika uwanja wa KAMBARAGE uwanja ambao utatumika katika mchezo wa Leo.
Mbele Mshambuliaji Emmanuel Okwi akianzia benchi na nafasi yake kuanza Meddie Kagere huku nafasi ya Mohammed Ibrahim akionekana kuanzishwa James Kotei.

No comments:

Powered by Blogger.