Hii ndio rekodi aliyoweka John Bocco Ligi kuu Tanzania Bara

Nadhani foleni ya kukupongeza imepungua..umekuwa mwanadaamu wa kwanza kufikisha Magoli Mia kwenye Ligi kuu na itabaki hvyo..wengine watafuatia tu..Captain John Raphael Boko..Hongera sana Mwamba
No comments: