Ratiba Mechi 3 ligi kuu Tanzania bara TPL leo 24.9.2018

Ratiba Mechi 3 ligi kuu Tanzania bara TPL leo 24.9.2018
Mzuka wa Ligi kuu Tanzania bara utaendelea leo baada ya mechi nne za jana , Leo 24.9.2018 kutakuwa na jumla ya mechi 3 kuchezwa.
Katika uwanja wa CCM KIRUMBA
Kutakuwa na mechi kati ya Mbao Fc ya jijini Mwanza ambayo itacheza na Tanzania Prisons majira ya saa kumi kamili.
Katika uwanja wa Nangwanda Sijaona
Ndanda Fc ambao wameanza vyema Ligi kuu watakuwa nyumbani Nangwanda Sijaona kucheza dhidi ya Stand United saa kumi alasiri.
Uwanja wa Taifa.
Timu ya African Lyon leo itakuwa uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam kuwakaribisha Mtibwa Sugar mchezo ambao utaanza saa moja usiku.
No comments: