Hii ndio michezo ya Ligi kuu soka nchini Hispania leo 22.09.2018
Kivumbi cha Ligi kuu soka nchini Hispania #Laliga kuendelea leo kwa mechi nne kuzishuhudia LIVE kupitia Luninga yako.
Real Madrid vs Espanyol mara ya mwisho timu hizi zilipokutana Real Madrid alichezea kichapo, Je leo Espanyol wataendeleza kichapo?
No comments: