Manara baada ya kuchezea kipigo kutoka kwa mbao fc jijini Mwanza ,ameishiwa nguvu na mbwembwe zote na kuposti picha hii hapa chini na kuandika neno moja;DISASTER Haya hapa matokeo kati ya SIMBA SC na MBAO FC leo 20.09.2018
No comments: