Thursday, January 23 2025

Huu hapa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara TPL 2018/2019



Baada ya ushindi wa leo iliyoupata dhidi ya mabingwa watetezi, Simba, Mbao FC imefikisha pointi 10 na kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi huku African Lyon ikipanda hadi nafasi ya 12 ikiwa na pointi 6. 

No comments:

Powered by Blogger.