Haji Manara awaomba msamaha mashabiki wa Simba SC

Manara ameandika kwa masikitiko makubwa katika page yake ya instagram ,ni baada ya kuchezea kichapo cha 1 - 0 mbele ya Mbao Fc leo 20.09.2018



Bodi ya Wakurugenzi,Sekretarieti,Benchi la Ufundi na wachezaji wa klabu ya Simba,wanawaomba radhi Wanachama na Washabiki wetu kwa matokeo ya leo. Tumeumia sote na tunawaomba mjue hii ni mechi ya nne tu..tutafanya maamuzi sahihi bila pressure kwa maslahi MAKUBWA ya Timu na klabu..nawaomba mtulie ktk kipindi hiki: ameandika kupitia account yake ya instagram

No comments:

Powered by Blogger.