Haya hapa matokeo kati ya SIMBA SC na MBAO FC leo 20.09.2018
hii hapa ni takwimu ya motokeo kati ya SIMBA SC na MBAO FC hadi kufikia half time,
mpaka half time MBAO inaongoza ikiwa mbele kwa bao moja kwa ziro
Mbao fc 1-0 Simba sc
Said khamis Said 26
FULL TIME
hii ndio tathmin ya kipind cha pili kati ya SIMBA SC na MBAO FC
Mpira umemalizika na Simba wanakubali kipigo kwa mara ya kwanza kutoka kwa Mbao FC ikiwa ni mechi ya kwanza kupoteza kwa mabingwa hao watetezi msimu huu.
Mbao FC 1-0 Simba SC.
No comments: