Wachezaji Simba watakaokosekana Jumapili Ikiivaa Yanga

Jumapili 30.9.2018 Pambano la watani wa Jadi litakuwa linachukua nafasi mechi kati Simba na Yanga uwanja wa Taifa itakuwa ndiyo kitu ambacho Kitaisimamisha Dunia ya wapenda soka hususani katika nchi ya Tanzania kwa dakika 90.
Kuelekea pambano hilo klabu ya SImba itamkosa kiungo wake Hassan Dilunga ambaye anamaumivu ya Enka, mpaka mazoezi ya jana yaliyokuwa yanaendelea uwanja wa Boko Veteran kiungo huyo hakuwa mmoja ya wachezaji walioshiriki mazoezi na badala yake alikuja tu na nguo za Nyumbani kuangalia wenzake.
mwingine ni Nahodha wa Simba John Bocco ambaye anakadi nyekundu aliyoipata kwenye mchezo dhidi ya Mwadui Fc
No comments: