TFF yamtangaza mchezaji bora TPL mwezi Agosti

Image result for TFF yamtangaza mchezaji bora TPL mwezi Agosti


Shirikisho la soka Tanzania TFF Leo limemtangaza mchezaji bora wa Ligi kuu Tanzania bara kwa mwezi Agosti.
TFF limemtangaza mzee wa kufunga jicho moja Meddie Kagere kama mchezaji bora wa mwezi wa nane baada ya Kuisaidia klabu yake ya Simba kupata alama sita akifunga mabao matatu katika mechi mbili dhidi ya Prison bao moja na dhidi ya Mbeya City bao 2.

No comments:

Powered by Blogger.