Tazama matokeo ya michezo yote ya ligi ya mabingwa ulaya iliyopigwa 19/9/2018



Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya imeshika moto tena usiku wa jana kwa mechi 8 kupigwa.

Katika mitanange hiyo, klabu za Juventus, Real Madrid, Manchester United, Bayern na Ajax zimeibuka na ubabe.

Wakati huo Manchester City imeendelea kuwa kibonde kwenye mashindano haya kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Lyon ikiwa nyumbani.

Matokeo kamili haya hapa

No comments:

Powered by Blogger.