Tathmini mechi 4 zilizopita kati ya SIMBA SC NA MBAO FC
Kelekea mchezo utakopigwa kati ya MBAO FC na SIMBA SC wimatz imekuletea takwimu kati ya mechi nne zilizopita kati ya timu hizi mbili,
20.09.2018 MBAO SC ?-?SIMBA SC
26.02.2018 SIMBA SC 5-0 MBAO FC
21.09.2017 MBAO FC 2-2 SIMBA SC
10.04.2017 MBAO FC 2-3 SIMBA SC
20.10.2016 SIMBA SC 1- 0 MBAO FC
je leo kwa mara ya kwanza MBAO anaweza kuvunja mwiko wa kufungwa akiwa nyumbani kwake
fuatilia matokeo ya moja kwa moja hapa katika page yetu FACEBOOK PAGE
No comments: