Msimamo wa ligi kuu tanzania bara TPL baada ya mchezo kati ya Stand United na KMC leo 21.09.2018

Baada ya mechi moja iliyopigwa leo kwenye Uwanja Uhuru Jijini Dar es Salaam na kumalizika kwa ushindi wa mabao 2-0 kwa KMC dhidi ya Stand United, msimamo wa ligi unaonesha KMC ikiwa imepanda hadi nafasi ya 11.
No comments: