Matokeo Yanga Fc vs Singida United 23.9.2018

Mpira umemalizika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kwa mara ya kwanza, Yanga inaifunga Singida United tangu ipande daraja kwa ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa Amis Tambwe.
FT: Yanga 2-0 Singida United.
No comments: