MATOKEO: Watford na Manchester United leo 15.09.2018
dakika ya 35 lomelu lukaku anaindikia Manchester United bao la kwanza
Watford 0 - 1 Manchester United
dakika tatu baadae chris smalling anaipatia Manchester United bao la pili na kuifanya kuwa mbele kwa bao 2
HALF TIME
Watford 0 - 2 Manchester United
FULL TIME
kipindi cha pili kimeanza wakati manchester United akiwa anaongoza kwa goli 2.dakika ya 65 Andre Gray anaindikia Watford bao lake la kwanza na kufanya matokeo kuwa
Watford 1 - 2 Manchester United
hadi kipindi cha pili kinaisha dakika 90 matokeo yamekua ni
Watford 1 - 2 Manchester United
Watford bao limefungwa na Andre Gray
Manchester United -1 goal-lomelu lukaku ; 2 goal-chris smalling
No comments: