Matokeo Mechi zote za Ligi kuu TPL Leo 19.9.2018
Matokeo mechi za ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL msimu wa 2018/2019 kutoka viwanja mbalimbali.
Matokeo kipindi cha Kwanza
Mbeya City 2 – 0 Ruvu Shooting
Ndanda 1 – 1 Mtibwa
Mwadui 0 – 0 JKT Tanzania
Biashara United 0 – 0 Azam Fc
FULL TIME RESULTS
Lipuli 1 – 0 Alliance
Biashara United 0 – 0 Azam Fc
Ndanda 2 – 1 Mtibwa Sugar
Mwadui 1 – 1 JKT Tanzania
Mbeya City 4 – 2 Ruvu Shooting
No comments: