Matokeo mechi zote Ligi Kuu TPL Leo 27.9.2018

Matokeo mechi zote Ligi Kuu TPL Leo 27.9.2018
Ligi Kuu soka ya Tanzania bara TPL Leo 27.9.2018 imeendelea leo kwa mechi 2 kuchezwa
Mechi ya Mapema Ruvu Shooting wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 1 kwa 0 wakicheza nyumbani mbele ya African Lyon uwanja wa Mabatini bao likifungwa Mussa Said.
Nao Mtibwa Sugar wamefanikiwa kupata Ushindi wa bao 1 kwa 0 wakicheza dhidi ya Mwadui Fc goli la Stahimil Mbonde.
No comments: