Matokeo Mbeya City vs Kagera Sugar 23.9.2018



Mpira umemalizika kwenye dimba la Sokoine Jijini Mbeya, Kagera Sugar wanalazimisha sare nyingine baada ya ile waliyoipata dhidi ya Tanzania Prisons.

FT: Mbeya City 1-1 Kagera Sugar.


No comments:

Powered by Blogger.