Matokeo Alliance vs KMC Ligi kuu TPL leo 29.9.2018

Matokeo Alliance vs KMC Ligi kuu TPL leo 29.9.2018
Mechi imeanza kutoa uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza
Goaaaaal dakika ya Ambundo anaipatia Alliance bao la kwanza
Alliance 1 – 0 KMC
Goaaaaaal dakika ya 10 Juhudi Philemon anaipatia Alliance bao la Pili, Assist ya Dickson Ambundo
Alliance 2 – 0 KMC
Dakika ya 2
Alliance 2 – 0 KMC
Dakika ya 30
Mechi inaonekana kuwa ya timu zote Alliance wakionekana kuwa machachari wanapovuka eneo la katikati wakati KMC wanajitahidi kumiliki mpira huku wakitengeneza nafasi
Alliance 2 – 0 KMC
Mpira ni mapumziko
Alliance 2 – 0 KMC
KIPINDI CHA PILI
DAKIKA 50
ALLIANCE 2 – 0 KMC
Goaaaaaal KMC wanapata bao kupitia kwa Mveyekule
ALLIANCE 2 – 1 KMC
DAKIKA YA 80
ALLIANCE 2 – 1 KMC
DAKIKA YA 85
ALLIANCE 2 – 1 KMC
FULL TIME
ALLIANCE 2 – 1 KMC. HUU NI USHINDI WA KWANZA KWA ALLIANCE LIGI KUU SOKA YA TANZANIA BAR TPL 2018/2019
No comments: