Haya hapa matokeo kati ya African Lyon na Singida United leo 20.09.2018


Mpira umemalizika kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, African Lyon wanaondoka na pointi 3 na mabao 3 dhidi ya Singida United.

FT: African Lyon 3-2 Singida United.


No comments:

Powered by Blogger.