Hawa ndio wafungaji wanaongoza ligi kuu tanzania bara hadi 22.09.2018

Wachezaji kumi wanaoongoza kwa ufungaji kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2018/2019 hadi leo Septemba 22, 2018.
JEZI MCHEZAJI TIMU GOAL
7 VITALISY MAYANGA NDANDA FC 3
25 STAMIL MBONDE MTIBWA SUGAR FC 3
14 KAGERE MEDIE SIMBA SC 3
9 ALEX KITENGE STAND UNITED FC 3
10 ELIUD AMBOKILE MBEYA CITY FC 3
19 HERITIER MAKAMBO YANGA FC 2
14 SALUM KIMENYA TZ PRISONS FC 2
20 HASSAN KAPALTA TZ PRISONS FC 2
10 HABIBU KIYOMBO SINGIDA UNITED FC 2
17 OMARY MPONDA KAGERA SUGAR 2
No comments: