Ratiba ligi Kuu Tanzania bara 2 November 2018
Ratiba ligi Kuu Tanzania bara 2 November 2018
Ligi Kuu soka ya Tanzania bara TPL leo 2 November 2018 Itaendelea kwa mechi mbili kuchezwa
Mechi hizo ni kati ya Stand United ya Mkoani Shinyanga ambayo itawaalika Coastal Union Wagosi wa Kaya kutoka Mkoani Tanga katika mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Kambarage uliopo manisapaa ya Shinyanga kauanzia majira ya saa kumi jioni.
Mechi nyingine itazikutanisha African Lyon ambao watacheza mechi ya Usiku leo saa moja kamili dhidi ya Lipuli wanaPaluhengo hawa kutoka mkoani Iringa, Lipuli wakitoka Kupoteza mchezo uliopita mbele ya yanga.
Mechi hii itachezwa katika uwanja wa Azam uliopo Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar Es Salaam.
No comments: