Ratiba Ligi kuu Tanzania Bara TPL Leo 22.9.2018

Uhondo wa Ligi kuu soka ya Tanzania bara uanendelea leo Jumamosi 22.9.2018 katika nyasi za viwanja mbalimbali nchini Tanzania baada ya jana kushuhudiwa mchezo mmoja kati ya KMC ambao waliifunga bao 2 kwa 0 Stand United.
Ruvu Shootinga waite wazee wa Kupapaswa licha ya Kuanza ligi vibaya huku wao wakisingizia kukosa baadhi ya nyota wao ambao usajili wao bado unamadoa watakuwa nyumbani baada ya kuambulia kipigo kutoka kwa Mbeya City, Ruvu Shooting watakuwa wenyeji wa Coastal Union uwanja wa Mabatini mechi itakayoanza saa nane mchana.
No comments: