Kocha Juma Mgunda wa Coastal Union asema haya kuhusu Alikiba

 Image result for Kocha Juma Mgunda wa Coastal Union asema haya kuhusu Alikiba

Kocha wa coastalunion ya tanga Juma Mgunda amewataka mashabiki wake kutokuwa na haraka ya kumuona mchezaji wao alalikiba akikitumikia kikosi cha timu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara huku akibainisha kuwa kuna wachezaji 12 ambao bado hawajacheza hadi sasa, si Alikiba pekee. 
          source mshikemshike ya azam tv

No comments:

Powered by Blogger.