Mechi za pili za robo fainali kombe la shirikisho barani Africa leo 23.09.2018




Mechi za pili za robo fainali kombe la shirikisho barani Africa kupigwa leo Jumapili, na utazishuhudia Live kupitia ZBC2.

Mechi ya kwanza Rayon Sports akiwa nyumbani walitoka sare tasa 0 - 0 na Enyimba, Leo Enyimba yupo nyumbani je nani kwenda nusu fainali?

Mechi ya kwanza Al Masry akiwa nyumbani alishinda 1 - 0 dhidi ya USM Algers, Leo USM Algers yupo nyumbani je atapindua meza na kwenda nusu fainali ama Al Masry watalinda ushindi wao na kwena nusu fainali?

No comments:

Powered by Blogger.