Matokeo Yanga vs Coastal Union TPL 19.9.2018
Matokeo mechi kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Mechi Imeanza
Yanga 0 – 0 Coastal Union
Dakika ya 5 Yanga wanapiga Kona Ibrahim Ajibu anapiga inataka kuingia yenyewe kipa Anaokoa kwa Kupunch
Dakika ya 6 Heritier Makambo anapiga Header nzuri inapita nje kidogo ya Lango
Dakika ya 8
Yanga 0 – 0 Coastal union
Goaaaaaaal Heritier Makambo anaipatia Yanga bao la Kwanza, Assist ya Ibrahim Ajibu, Katika dakika ya 12.
Yanga 1 – 0 Coastal Union
Yanga wanaonekana kucheza kwa kasi wakionana kwa pasi za hapa na Pale huku Ibrahim Ajibu akionekana kupiga mipira Mirefu.
Dakika ya 20
Yanga 1 – 0 Coastal Union
Dakika ya 21 Papy Tshishimbi anamtengea Ibrahim Ajibu anapiga shuti mpira unapaa nje kidogo ya Lango.
Dakika ya 25 Kelvin Yondani anafanya makosa lakini kipa Klaus Kindoki anadaka mpira na kufanya makosa ya Yondani kusahihishwa.
Dakika 30
Yanga 1 – 0 Simba ( 12′ Makambo)
Dakika ya 35 Makambo anaweka bao la Pili lakini Line 2 anasema tayari ilikuwa ni Offside
HALF TIME
Yanga 1 – 0 Coastal union (12′ Makambo)
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 46 Feisal Salum anaumia na aanatoka nje kwa Matibabu zaidi
Dakika ya 50 Coastal Union wanapata free kick baada ya Yondani kumweka chini Ayoub Lyanga wa cOASTAL UNION.
Dakika ya 52 Kelvin Yondani anapewa kadi ya njano.
Dakika ya 53 Adeyum Ahmed anapewa kadi ya njano baada ya kucheza faulo kwa Kaseke
Dakika ya 58 Papy Tshishimbi anajaribu shuti mnazi linapaa Juu.
Dakika ya 58 Mrisho Ngassa anatoka anaingia Matheo Anthony Simon.
Dakika ya 61 Deus Kaseke anajaza majalo lakini Matheo Anthony anashindwa kuunganisha kwa usahihi inakuwa ni Goal Kick
Dakika ya 62 Makambo anakaa chini akionekana Kuumia. Alianza kuonekana akichechemea kwa muda lakini kwasasa anakaa chini kabisa
Dakika ya 65 Heritier Makambo anatoka anaingia Amis Tambwe
Dakika ya 69 Coastal Union wanacheza vizuri na wanapata Kona
Dakika ya 75 anatoka Deus Kaseke anaingia Abdallah Shaibu Ninja
Yanga 1 – 0 Coastal Union
Dakika ya 80
Goli la yanga lipo kwenye hatari dakika hizi za Mwisho, Coastal union wanaonekana kutafuta Goli kwa Nguvu
Dakika ya 84 Coastal wanakosa goli bado mpira langoni kwa yanga
Dakika ya 88 Yanga wanakosa goli kwa mpira wa Matheo Anthony, tambwe anashindwa kuhakikisha.
FULL TIME
Yanga 1 – 0 Coastal Union (12′ Makambo)
No comments: