MANARA awakumbusha YANGA wachezaji waliowahi kuwafunga Hatriki

Image result for haji manara simba

KUMEKUCHA Haji manara afisa habari wa Simba leo 17.9.2018 ameamka na Wachezaji ambao wamewahi kuwafunga goli 3 kwenye mechi moja maarufu kama Hat Trick.


Na hizi ndio tambo zake Kupitia Instagram yake.
Simba toka imeumbwa haijawahi kufungwa HAT-TRICK na mchezaji yoyote yule…. Gongowazi ya jana ilikuwa ya tatu..
1959..VS Navy ya Greece..mfungaji Georgie Menopolisties.
1977.VS Simba..mfungaji Abdallah kibadeni..kipa wao Bernard Madale
2018.VS Stand United… Mfungaji @maulidkitenge. Ahhh tholi Alex kitenge..kipa wao jina gumu kweli..nani vilee!!!
Miaka 41 baadae Bana Congo kaja kuvunja rekodi ya Madale…Wametoa pazia wameweka kanga ya India..ukichungulia unamuona yuleeeeeee 😎

No comments:

Powered by Blogger.