Haji Manara ataja kiungo wake bora Tanzania ndani ya Miaka 10 iliyopita

Haji Manara ataja kiungo wake bora Tanzania ndani ya Miaka 10 iliyopita
Afisa habari wa klabu ya Simba amemwangia sifa Kiungo wa Simba Jonas Gerald Mkude akifunguka kuwa ameangalia mamido kwa miaka 10 iliyopita na kuona kuwa Mkude ni zaidi ya Mido.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji manara ameandika Ujumbe Huu.
Master minder..Ball Machine.. Pass Doctor..Engineer..and PhD midfielder..Jonas Gerard Mkude..mwana kinondoni Mnyama lialia… nimewaangalia mamido wote..in past ten years back..hapa Bongo..jamaa ni zaidi ya Mido..ni Maesro kamili @jonasmkude20
No comments: