Haji Manara aongelea Uchawi baada ya Mechi na Yanga aandika haya

Haji Manara aongelea Uchawi baada ya Mechi na Yanga aandika haya
Baada ya mechi ya Simba na Yanga 30.9.2018 kumalizika kwa sare Simba wakitawala mchezo lakini wakikosa nafasi nyingi za wazi haji manara ameibuka na kusema hajawahi kuamini uchawi kwenye mpira ila huko kwao (Tanzania) Upo.
Sijawahi kuamini Uchawi ktk mpira….lakini huku kwetu upo na unafanya kazi…… @azamtvtz why hamkutoa Statistics leo ? Okey wameshinda wao…0-0…
No comments: