Habari mpya kutoka Simba kuelekea mechi dhidi ya Yanga



Habari mpya kutoka Simba kuelekea mechi dhidi ya Yanga
Klabu ya Simba ya Jijini Dar Es Jumapili 30 September 2018 itakuwa mwenyeji wa mchezo kati yao dhidi ya Yanga pambano ambalo litachezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Kuelekea pambano hilo ambalo joto lake limeanza kupanda imeelezwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo Mbelgiji Patrick Aussems amevunja mipango ya kwenda Zanzibar na amesema timu ibakie Dar Es Salaam.
Jana baada ya timu kurejea kutoka Shinyanga wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja na leo Kikosi cha Simba kitaendelea na mazoezi katika uwanja wa Boko Veteran.

No comments:

Powered by Blogger.