TFF yamtangaza mgeni rasmi mechi Simba vs Yanga 30.9.2018



TFF yamtangaza mgeni rasmi mechi Simba vs Yanga 30.9.2018
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limemtangaza mgeni rasmi wa mechi ya watani wa Jadi kati ya Simba na Yanga September 30.9.2018.
Wakitumia ukurasa wao wa Twitter TFF limtaja Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kuwa mgeni rasmi wa mchezo huo utakaochezwa uwanja wa Taifa.
Spika wa Bunge ni shabiki kindakindaki wa Simba ambao pia katika mchezo huo ndiyo wenyeji wa Yanga

No comments:

Powered by Blogger.