Post ya Dismas Ten baada ya Mechi ya Simba na Yanga leo


Post ya Dismas Ten baada ya Mechi ya Simba na Yanga leo
Baada ya mechi kati ya Simba na Yanga uliochezwa leo 30.9.2018 katika uwanja wa Taifa Kumalizika Dismas Ten afisa habari wa Yanga ameandika Ujumbe Huu hapo chini.

Mchezo mzuri kwa timu zote mbili, hongera @yangasc hongera @simbasctanzania Hongera mashabiki kwa sapoti nzuri uwanjani 
#football⚽ 
PAUL GODFREY (jezi namba 33) 
Jamani hivi Okwi alikuwepo? 
Abdallah Shaibu Ninja (jezi namba 23) hivi yule Kagere aliwekwa mfuko gani wa Nyuma au mbele..! Yes..! BENNO KAKOLANYA MAN OF THE MATCH

No comments:

Powered by Blogger.