Patashika ligi kuu TPL kuendelea leo

Patashika ligi kuu TPL kuendelea leo
Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL msimu wa 2018/2019 itaendelea leo baada ya jana kushuhudia mechi 3 zikichezwa.
Ligi hiyo ambayo msimu huu imeanza bila mdhamini mkuu itaendelea leo 25.9.2018 kwa mchezo mmoja kuchezwa jijini Dar es Salaam kati ya KMC dhidi ya Lipuli mechi iliyopangwa kuanza saa kumi alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
No comments: