Na haya ndio matokeo ya mchezo kati ya Mwadui FC na Simba SC



Mpira umemalizika kwenye dimba la Kambarage Shinyanga na Simba inaibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mwadui FC huku nahodha wake John Bocco akipata kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 80 baada ya kumpiga kwa makusudi mchezaji wa Mwadui.

No comments:

Powered by Blogger.