Baada ya mchezo mmoja uliopigwa leo na kumalizika kwa suluhu, KMC na Lipuli FC zimeendelea kubaki kwenye nafasi zao huku zikifikisha pointi saba kila moja.
No comments: