Msimamo ligi kuu Tanzania Bara TPL 2018/2019

Baada ya mechi tatu za leo Septemba 23, 2018 Yanga, Azam FC, Simba na Mbao FC ndizo timu nne zilizo kileleni huku Yanga ikiwa na michezo pungufu ikilinganishwa na timu nyingine zote wakati Alliance SC wakiendelea kujichimbia mkiani mwa msimamo wa ligi.
No comments: