Thursday, March 13 2025

Matokeo Ruvu Shooting vs Coastal Union TPL 22.9.2018



MATOKEO ya moja kwa moja ligi kuu soka ya Tanzania bara maarufu zaidi kama TPL kati ya wenyeji Ruvu Shooting dhidi ya Coastal Union kutoka uwanja wa Mabatini mkoani Pwani.
Mechi Imeanza
Dakika 5
Ruvu Shooting 0 – 0 Coastal Union.
Dakika ya 12 Kipa wa Coastal Union yupo chini akitibiwa baada ya kugongana na mshambuliaji wa Ruvu Shooting Issa Kanduru. Mechi Imesimama kwa muda ikisubiri kipa atibiwe.
Dakika ya 15 Issa Kanduru anapewa kadi ya njano kwa kitendo cha kumchezea rafu kipa wa Coastal Union, Wagosi kutoka Tanga.
DAKIKA 30
Ruvu Shooting 0 – 0 Coastal Union
Dakika ya 34 Issa kanduru anakosa bao la wazi kwani kipa wa Coastal Union alikuwa ametoka langoni baada ya kupotezwa maboya na Fully zully maganga
Ruvu 0 – 0 Coastal
Dakika ya 43 Moses Kitandu anakosa goli la wazi kabisa, Akiwa yeye na Kipa wa Ruvu Shooting
HALF TIME
Ruvu Shooting 0 – 0 Coastal Union
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 50
Ruvu Shooting 0 – 0 Coastal Union
Goaaaal dakika ya 62 Coastal Union wanapata bao, Baada ya Tumba Sued Kujifunga.
Ruvu Shooting 0 – 1 Coastal Union
DAKIKA YA 75
Ruvu Shooting 0 – 1 Coastal Union
FULL TIME
Ruvu Shooting 0 – 1 Coastal Union

No comments:

Powered by Blogger.