Matokeo Mbeya City vs Alliance Fc TPL leo 16.9.2018
Matokeo Kati ya Mbeya City dhidi ya Alliance Fc ya Mwanza kutoka uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Dakika ya 5
Mbeya City 0 – 0 Alliance Fc
Mechi imeanza kwa timu zote kucheza taratibu kwa kusomana, Matokeo yakiwa bado sifuri kwa sifuri si Mbeya City wala Alliance kutoka Mwanza
Dakika ya 15
Mbeya City 0 – 0 Alliance Fc
Goaaaaaaal Dakika ya 18 Mbeya City wanapata bao la kuongoza kupitia kwa Victor Hangaya.
Mbeya City 1 – 0 Alliance
Dakika 20
Mbeya City 1 – 0 Alliance (18′ Hangaya)
Dakika 30
Mbeya City 1 – 0 Alliance (18′ Hangaya)
Dakika 40
Mbeya City 1 – 0 Alliance (18′ Hangaya)
Dakika ya 43 Eliud Ambokile anakosa goli la wazi akiwa yeye na Kipa anapiga Mpira Nje ya Lango
HALF TIME
Mbeya City 1 – 0 Alliance Fc (18′ Victor Hangaya)
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 49 Jamal wa Alliance anapata nafasi nzuri anashindwa kusawazisha bao anapiga Mpira Nje.
Dakika ya 50
Mbeya City 1 – 0 Alliance
Dakika ya 57 Dickson Ambundo wa Alliance anajaribu mkwaju kipa Owen Chaima anautoa na Kuwa Kona
Dakika ya 60
Mbeya City 1 – 0 Alliance Fc
Dakika ya 75
Mbeya City 1 – 0 Alliance Fc
Goaaaaal Eliud Ambokile katika dakika ya 81 anaipatia Mbeya City bao la Pili
Mbeya City 2 – 0 Alliance
FULL TIME
Mbeya City 2 – 0 Alliance ( 18′ Hangaya, 81′ Ambokile)
No comments: