MATOKEO : Full time mhezo kati ya Athletic Bilbao na Real Madrid Haya hapa
KIPINDI CHA KWANZA
Matokeo Athletic Bilbao vs Real Madrid Leo 15.9.2018
Mechi Imeanza
Athletic Bilbao 0-0 Real Madrid
ndani ya nusu saa ya kwanza hakuna hata mmoja alieona lango la mwezake
dakika ya 35 Iker Munian anaipatia timu yake ya Athletic Bilbao goli la kwanza na kufanya matokeo kuwa
Athletic Bilbao 1-0 Real Madrid
hadi dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza zimekwisha matokeo ni:
Athletic Bilbao 1-0 Real Madrid
timu zimekwenda mapumziko na kurudi kipindi cha pili kinaanza
KIPINDI CHA PILI
Athletic Bilbao 1-0 Real Madrid
hadi kufikia dakika ya 60 matokeo bado Athletic Bilbao anaongoza kwa bao alilofunga Iker Munian
kufikia dakika ya 62 Real Madrid inapata goli kupitia kwa mchezaji wake isco na kufanya matokeo kuwa
Athletic Bilbao 1-1 Real Madrid
FULL TIME
hadi dakika 90 za mchezo zinakamilika matokeo ni :
Athletic Bilbao 1-1 Real Madrid
No comments: