matokeo : Club Brugge vs Borussia Dortmund :LIVE
Matokeo ya mchezo kati ya Club Brugge vs Borussia Dortmund leo 18.09.2018 kutoka katika viwanja vya Jan Breydel Station
Mchezo umeanza Club Brugge 0-0 Borussia Dortmund
hadi kufikia dakika ya 10 timu zote mbili hakuna alieweza kumfunga mwenzake
sasa ni dakika ya 19 julian weigl midfielder wa Borussia Dortmund anapewa kadi ya njano,
mpira ni dakika ya 45 bado hakuna aliweza kufunga bao katika goli la mwenzake
timu zinaenda mapumziko sasa kuashiria kipindi cha kwanza kimeisha
HALF TIME
Club Brugge 0-0 Borussia Dortmund
No comments: